Uambishaji wa Vitenzi vya Kiingereza katika Kiswahili: Mifano kutoka Mitandao ya Kijamii ya Kielektroniki

Angelus Mnenuka

Abstract


Baada ya teknolojia ya habari na mawasiliano kukua, kumezuka aina nyingine
ya mawasiliano ambayo inawahusisha watu wenye mwelekeo mmoja kirika,
kijamii na hata kitaifa kujadili masuala yao kwa urahisi na kwa gharama
ndogo kwa kutumia mitandao ya kijamii ya kielektroniki (MKK). Mitandao hii
inaondoa vikwazo vya kijiografia na kimiundombinu, ambapo watu kutoka
pande mbalimbali za dunia wanaweza kujadiliana kwa wakati mmoja au kila
mmoja kwa wakati wake kwa njia ya maandishi. Makala hii inachunguza
namna wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili wanavyoambisha baadhi ya
vitenzi vya Kiingereza kwa kutumia kanuni za sarufi ya Kiswahili katika
MKK. Data zilikusanywa kutoka katika vipindi vya redio, televisheni, facebook
na twitter. Kiwango cha maneno tunachokiona ni kidogo ikilinganishwa na
yale yanayozungumzwa kwa sababu si kila anayezungumza ni lazima aandike
maneno hayohayo. MKK ni uwanja mpya unaopaswa kufanyiwa utafiti kuhusu
masuala mbalimbali, hususan lugha na fasihi.
Dhana za msingi: unyambulishaji vitenzi, teknolojia na mawasiliano, vitenzi
vya Kiingereza, Kiswahili.

References


Ayeomoni, M.O. (2006). Code-Switching and Code-Mixing: Style of Language Use in

Childhood in Yoruba Speech Community. Nordic Journal of African Studies 15(1):

-99.

Bosch, T.E. (2009). Using Online Social Networking for Teaching and Learning:

Facebook Use at the University of Cape Town. Cummunicatio: South African Journal

for Communication Theory and Research 35 (2): 185-200.

Cárdenas-Claros, M.S. (2009). Code Switching and Code Mixing in Internet Chatting:

between ‘yes’, ‘ya’, and ‘si’ a Case Study. The Jaltcalljournal 5(3): 67-78.

Crawford, C. (2008). An Evolutionary Account of Loanword–induced Sound Change in

Japanese. University of Pennsylvania Working Papers in Linguistics Volume 14(1).

Ilisomwa 19 Oktoba 2011 < http://repository.upenn.edu/cgi/viewcontent>

Harrison, R., & M. Thomas. (2009). Identity in Online Communities: Social Networking

Sites and Language Learning. International Journal of Emerging Technologies &

Society 7(2): 109-124. Ilisomwa 16 Oktoba 2011 < http:// www.

Swinburne.edu.au/hosting/ijets/journal/V7N2/pdf/Article4-arrisonThomas.pdf>

Ho-Abdullah, I., R.S. Hashim, A. Jaludin, & R. Ismail. (2011). Enhancing Opportunities

for Language Use through Web-based Social Networking. 2011 International

Conference on Social Science and Humanity IPEDR Vol. 5. Singapore: IACSIT Press.

Ilisomwa 20 Oktoba 2011 < http://www.ipedr.net/vol5/no1/29-H00075.pdf>

Internet Usage Statistics for Africa. Internet World Stats.

World Stats, 30 June 2012.

http://www.internetworldstats.com/africa.htm#tz. Ilisomwa 22 Machi 2013.

Kim, E. (2006). Reasons and Motivations for Code-Mixing and Code-Switching. Issues in

EFL 4(43): 43-61.

Massamba, D.P.B. (2002). Historia ya Kiswahili: 50 BK hadi 1500 BK. Nairobi: The Jomo

Kenyatta Foundation.

Milroy, L. (1980). Language and Social Networks. UK: Blackwell.

Milroy, L., & P. Muysken (wah.). (1995). One Speaker, two Languages: Cross-Disciplinary

Perspectives on Code-Switching. New York: Cambridge University Press.

Mkude, D.J. (1986). English in Contact with Swahili. In W. Vierck and W. Bald (wah.),

English in Contact with Other Languages. Budapest: Akademiai Kiado.

Muysken, P. (2000). Bilingual Speech: A Typology of Code-Switching. Oxford: Cambridge

University Press.

O’Grady, W., Dobrovolsky, M. na Katamba, F. (1996). Contemporary Linguistics: An

Introduction. London: Longman.

Russo, C.J., J. Squelch, & S. Varnham. (2008). Teachers and Social Networking Sites:

Think before you Post. Public Space: The Journal of Law and Social Justice (2010)

(5): 1-15. Ilisomwa 22 Oktoba 2011.

/ojs/index.php/publicspace/article/viewFile/1493/2074>

Soffer, O. (2010). Silent Orality: Toward a Conceptualization of the Digital Oral Features

in CMC and SMS Texts. Communication Theory 20: 387-404.

TUKI. (2004). Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Dar es Salaam: OUP.

Ullmann, S. (1977). Semantics: An Introduction to the Science of Meaning. Oxford: Basil

Blackwell.

Viereck, W., & W. Bald, (1986). English in Contact with Other Languages: Studies in

Honour of Broder Carstensen on the Occasion of his 60th Birthday. Budapest:

Akadémiai Kiadó.


Refbacks

  • There are currently no refbacks.


 [ISSN 0856-9965 (Print)]