UTARATIBU WA KUTATHMINI MAKALA

M. M. Mulokozi, Musa Hans

Abstract


MULIKA ni jarida la taaluma ya Lugha na Fasihi ya Kiswahili. Jukumu lake kuu ni kukusanya na kusambaza maarifa yanayohusu Lugha na Fasihi ya Kiswahili yaliyokitwa katika utafiti mpevu. MULIKA limeendelea kuwa daraja kati ya watumiaji wa Kiswahili popote walipo, na wataalamu wa Kiswahili katika shule za Sekondari na Vyuo vya Elimu ya Juu Afrika ya Mashariki.
Jarida huchapishwa mara moja kwa mwaka.
Jarida linapokea makala yaliyoandikwa kwa Kiswahili TU. Makala yapigwe chapa kwenye karatasi za A4, mistari ikitengwa kwa kipimo cha nafasi mbili. Upande mmoja tu wa karatasi utumiwe.


Full Text:

PDF

Refbacks

  • There are currently no refbacks.